Dola bilioni 1.06 zahitajika kwa msaada wa kibinadamu na ujenzi mpya Sudan

14 Disemba 2011

Umoja wa Mataifa na washirika wake nchini Sudan wanahitaji dola bilioni 1.06 kwa ajili ya msaada wa kibinadamu na miradi ya ujenzi mpya kwa mwaka 2012.

Hayo yameainishwa katika mpango wa Umoja wa Mataifa na washirika wake kwa ajili ya Sudan kwa mwaka 2012, na mpango huo unajumuisha miradi 331 katika sekta 12. Alice Kariuki na taarifa kamili.

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)

 

♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter