Naibu kamishna wa haki za binadamu akamilisha zile yake

21 Oktoba 2011

Naibu Mkuu wa kamishna ya haki za binadamu Kyung-wha Kang,amehitimisha ziara yake ya kwanza iliyomchukua kuanzia nchini Paraguay na Uruguay na Chile.

Katika ziara yake hiyo ya siku tatu, kiongozi huyo ameweka zingatio la udumishaji misingi ya haki za binadamu na kusisitiza haja ya kukaribisha mashirikiano kwa pande zote. Amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali akijadilia maeneo yanayohusu haki za binadamu.

Pia amekutana na wawakilishi wa makundi ya vyama vya kiraia.

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud