Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mataifa mengi sasa yafuatia athari za uwekezaji katika Uchumi wao:UNCTAD

Mataifa mengi sasa yafuatia athari za uwekezaji katika Uchumi wao:UNCTAD

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo ya kiuchumi na biashara UNCTAD limesema kuongezeka kwa matatizo ya kichumi duniani bado hakujaathiri sera za uwekezaji toka nje ingawa kuna dalili kwamba nchi nyingi zinazidi kuwa na hofu kuhusu athari za uwekezaji wa ndani na nje wa uchumi wao.

UNCTAD inasema hofu ya karibuni ya uwezekano wa mtikisiko zaidi na kuporomoka kwa uchumi inaweza kuongeza hatari katika njia mpya za kulinda wawekezaji kutoka nje. George Njogopa anaripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)