Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM na AU waona juhudi za amani zilizofikiwa Darfur

UM na AU waona juhudi za amani zilizofikiwa Darfur

Mpango wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na muungano wa Afrika kulinda amani DARFUR UNAMID umesema kwamba umepiga hatua na kwamba ratibu na ushirikiano na serikali ya Sudan umeimarika kama ilivyokuwa hali ya usalama Darfur. 

Pande hizo mbili zilizokutana New York mwishoni mwa wiki zimeichagiza UNAMID kuendelea kuunga mkono mipango ya amani DARFUR kwa kuhusisha makundi mengine na kujitayarisha kwa mazungumzo na mchakato wa kisiasa Darfur. George Njogopa anaripoti 

(RIPOTI YA GEOGE NJOGOPA)