Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM waomba uwekezaji zaidi kwenye masuala ya haki za binadamu

UM waomba uwekezaji zaidi kwenye masuala ya haki za binadamu

Pillay amesema kuwa jitihada za kulinda haki za binadamu hasa baada ya kushuhudiwa ghasia Kaskazini kwa bara la Afrika , Mashariki ya kati na nchini Ivory Coast zimeigharimu pakubwa ofisi yake.Amesema kuwa hali ya haki za binadamu kwenye sehemu mbali mbali duniani hunda zikakosa kushughulikiwa iwapo ofisi yake haitapata ufadhili wa kutosha.

(SAUTI YA NAVI PILLAY)