Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahakama ya uhalifu ya Cambodia kuwahukumu viongozi wanne wa zamani wa

Mahakama ya uhalifu ya Cambodia kuwahukumu viongozi wanne wa zamani wa

Mahakama ya Cambodia inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa ECCC inasikiliza kwa mara ya kwanza kesi ya viongozi wanne wa utawala wa zamani wa Khmer Rouge.

Mashitaka dhidi ya viongozi hao aliyekuwa makamu wa Khmer Rouge Noun Chea, Leng Sary alias Van, Leng Thirith na Khieu Samphan ni pamoja uhalifu dhidi ya ubinadam, ukiukaji wa mikataba ya Geneva, mauaji ya kimbari, utesaji na mauaji kwa misingi ya kidini.

Uhalifu ho unadaiwa kusababisha vifo vya watu takribani milioni mbili nchini Cambodia kati ya mwaka 1975 na 1979.