Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Pande zote mbili nchini Sudan zashauriwa kulinda mkataba wa amani:UM

Pande zote mbili nchini Sudan zashauriwa kulinda mkataba wa amani:UM

Mtaaalamu kutoka Umoja wa Mataifa amezitaka serikali za kusini na kaskazini mwa Sudan kulinda mafanikio yaliyopatikana tangu kusainiwa kwa makubaliano ya amani na kutafuta uungwaji mkono wa kimataifa katika kuimarisha sekta zake.

Mohamed Chande Othman ambaye ametwikwa jukumu la kuripoti na kushauri kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Sudan na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa amezitaka serikali zote mbili kujisatiti na kuyatumia mafanikio yaliyopatikana kwa muda wa miaka mitano iliyopita

George Njogopa na taarifa kamili