Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WMO na gesi zinazochafua mazingira

WMO na gesi zinazochafua mazingira

WMO inasema kuwa viwango hivyo vimepanda zaidi hata baada ya hali mbaya ya uchumi kuikumba dunia .

(SAUTI YA LEN BARRIE)

Gesi kuu chafu ni pamoja na gesi ya carbon dioxide , methane na nitrous oxide. Kulingana na WMO gesi hizo zinasababisha kupanda kwa joto duniani huku shughuli za kibinaadamu zikiwemo uchomaji makaa na kilimo vikichangia pakubwa gesi chafu.