Wapinzani nchini Burundi wapinga ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Wapinzani nchini Burundi wapinga ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Wapinzani nchini Burundi wamekemea vikali ziara ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon itakayoanza kesho Jumatano.

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi Charles Petrie amewataka wapinzani hao kuwasilisha kero zao. Mwandishi wetu wa Bujumbura Ramadhan Kibuga ametutumia taarifa hii.