Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Baraza la Usalama linazingatia JKK na Kamisheni ya Ujenzi Amani

Baraza la Usalama linazingatia JKK na Kamisheni ya Ujenzi Amani

Baraza la Usalama lilikutana leo asubihi kuzingatia kazi za kamati ya vikwazo dhidi ya JKK.

Mwenyekiti wa Kamati, Fazli Corman wa uturuki aliwasilisha ripoti kuhusu shughuli za kamati. Baadaye Baraza la Usalama lilijadilia shughuli za Kamisheni ya UM juu ya Ujenzi wa Amani.