Skip to main content

Baraza la Haki za Binadamu kuzingatia hali ya maeneo yaliokaliwa kimabavu ya WaFalastina kwenye kikao maalumu

Baraza la Haki za Binadamu kuzingatia hali ya maeneo yaliokaliwa kimabavu ya WaFalastina kwenye kikao maalumu

Baraza la Haki za Binadamu litaitisha kikao maalumu Geneva mnamo Alkhamisi ya tarehe 15 Oktoba (2009), kuzingatia "hali ya haki za kiutu katika Eneo Liliokaliwa Kimabavu la Falastina na katika Jerusalem mashariki."