Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

'Ripoti ya Mapitio ya 2008' kutoka IAEA

'Ripoti ya Mapitio ya 2008' kutoka IAEA

Ripoti ya Mapitio ya Mwaka 2008 ya Shirika la UM juu ya Matumizi ya Amani ya Nishati ya Nyuklia (IAEA) imebainisha idadi kubwa ya mataifa yamependekeza kuwa na viwanda vya kizalendo vya kinyuklia, kuzalisha umeme.