Skip to main content

Kijarida cha Benki Kuu ya Dunia chaelezea mwongozo kinga dhidi ya UKIMWI kwa sekta ya usafirishaji Afrika

Kijarida cha Benki Kuu ya Dunia chaelezea mwongozo kinga dhidi ya UKIMWI kwa sekta ya usafirishaji Afrika

Kitengo cha Benki ya Dunia juu ya Maendeleo ya Sekta ya Usafirishaji katika Afrika imechapisha kijarida chenye jina refu la kichwa kinachosema "Njia za kupata maisha mazuri: Maelezo ya jumla kuhusu majukumu ya miradi ya kuzuia maambukizi ya UKIMWI katika sekta ya usafiri na uchukuzi."