Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utekelezaji wa mipango ya NEPAD kuzingatiwa kwenye Baraza Kuu

Utekelezaji wa mipango ya NEPAD kuzingatiwa kwenye Baraza Kuu

Baraza Kuu [BK] la UM linakutana asubuhi ya leo kuzingatia maendeleo katika utekelezaji wa ule mfumo wa Ushirikiano Mpya wa Maendeleo kwa Afrika (NEPAD) kwenye mazingira yaliopambwa na mzoroto wa uchumi wa kimataifa, uliochochewa na muongezeko mkuu wa bei za chakula duniani.