Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mwongo wa Pili wa kutokomeza Umaskini unasailiwa kitaaluma Makao Makuu

Mwongo wa Pili wa kutokomeza Umaskini unasailiwa kitaaluma Makao Makuu

Kwenye Chumba cha Mkutano Namba Mbili leo asubuhi kulifanyika majadiliano maalumu kuzingatia “Mwongo wa Pili wa UM wa Kuutokomeza Ufukara na Hali Duni: kuanzia 2008 hadi 2017.