Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakulima wanahimizwa kujiunga na mapinduzi ya "Kijanikibichi"/Kilimo

Wakulima wanahimizwa kujiunga na mapinduzi ya "Kijanikibichi"/Kilimo

Wajumbe karibu 100 kutoka nchi 36 wanaokutana kwenye Makao Makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo (FAO)Roma, Utaliana wiki hii wametoa mwito maalumu wenye kupendekeza kwa wakulima wa kimataifa kujihusisha na yale mapinduzi ya kilimo yanayoendelea, yajulikanayo kama mapinduzi ya "Kijanikibichi". Mapinduzi haya huwakilishwa na utaratibu unaojulikana kama "Mfumo wa Hifadhi Bora ya Ukulima" au Mfumo wa CA.

hali ambayo inaashiria msiba mkuu katika siku zijazo, hasa ilivyokuwa itakapofika 2050 uzalishaji wa chakula unatarajiwa uongezeke mara mbili zaidi duniani, ili kukidhi vyema mahitaji ya chakula ya watu bilioni tisa.