Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mpango wa KM kwa Kosovo utaongeza majukumu ya utawala kwa EU

Mpango wa KM kwa Kosovo utaongeza majukumu ya utawala kwa EU

KM Ban Ki-moon amenakiliwa akisema kwamba pendekezo lake la kurekebisha usimamizi wa jimbo la Kosovo kwa kuukabidhi Umoja wa Ulaya (EU) majukumu zaidi ya utawala kwenye eneo hilo, ni furushi ambalo anaamini ndilo linalofaa kukamilishwa hivi sasa kimataifa, ni uamuzi ambao alisema anaelewa hautomridhisha kila mtu anayehusika na suala la Kosovo.