Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi Kinga dhidi ya UKIMWI waanzishwa na UM

Mradi Kinga dhidi ya UKIMWI waanzishwa na UM

KM Ban Ki-moon leo asubuhi alijumuika na watumishi wa UM waliopo Makao Makuu kuanzisha mradi mpya wa kupiga vita UKIMWI wenye muktadha usemao "UM Unajali".