Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kambi za wahamiaji Ethiopia kufungwa na UNHCR

Kambi za wahamiaji Ethiopia kufungwa na UNHCR

UNHCR imetangaza kufunga rasmi kambi mbili za Bonga na Dimma, ziliopo Ethiopia magharibi na ambazo zilitumiwa kama makazi ya muda kwa wahamiaji 23,000 wa kutoka Sudan Kusini tangu miaka ya mwanzo ya 1990.