Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kupanda kwa gharama za nishati kunaathiri sana bei za chakula duniani, yatahadharisha UM

Kupanda kwa gharama za nishati kunaathiri sana bei za chakula duniani, yatahadharisha UM

UM umeripoti kuingiwa na khofu na wasiwasi kuhusu athari za mfumko mkubwa wa bei za chakula uliojiri duniani karibuni, hali ambayo ilichochewa na kupanda kwa bei ya nishati kwenye soko la kimataifa.

Sikiliza taarifa kamili kwenye mtandao.