Wananchi kutoka Burundi na Tanzania watoa maoni kuhusu umaskini
Pakua
Ikiwa leo Oktoba 17 ni siku ya kutokomeza umaskini duniani ambayo huaadhimishwa kila mwaka tumepata maoni kutoka Burundi naTanzania
Kwanza Muandishi wetu wa Bujumbura Ramadhani Kibuga amekwenda katika mtaa duni wa Buterere, nje kidogo ya jiji la Bujumbura na kuzungumza na baadhi ya wakaazi wa eneo hilo wanaofanya shughuli mbalimbali.
(Maoni ya watu)
Tamimu Adam wa radio washirika Jogoo Fm, ,RuvumaTanzaniaalizungumza na baadhi ya wananchi
(Maoni ya watu)