Jazz! ni zaidi ya burudani, ni utamaduni na harakati
Muziki wa Jazz ni zaidi ya burudani, kwani unatajwa kama historia ya kuwezesha mabadiliko ya binadamu katika nyanja kadhaa ikiwamo haki za binadamu.
Ungana na Assumpta Massoi katika makala itakayokupeleka katika mitaa ilyofurika muziki wa Jazz.