Mahojiano na Bw M’Bisima Ntakobajira, Mtetezi wa Haki za Binadamu huko Bukavu DRC
Abdushakur Aboud amezungumza na mtetezi wa haki za binadamu, Mwenyekiti wa Kundi la Kutetea na Kulinda Haki za Binadamu huko Bukavu, Bw M'Bisima Ntakobajira, anaethbitisha kuzorota kwa Haki za Binadamu nchini DCR.