Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kuwa na mtoto mwenye usonji ni changamoto na COVI-19 imeongeza zaidi

Kuwa na mtoto mwenye usonji ni changamoto na COVI-19 imeongeza zaidi

Pakua

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kuelimisha jamii kuhusiana na tatizo la usonji, Umoja wa Mataifa umetaka mshikamano na watu wenye tatizo hilo la kiafya hasa wakati huu wa mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19.

Nchini Tanzania janga la COVID-19 hata hivyo limetia doa maadhimisho hayo kama anavyoelezea Isaac Maro ambaye pia ni mzazi wa mtoto mwenye usonji.

(SAUTI YA DKT. ISAAC MARO)

Pamoja na kuwa Maro ni mzazi, lakini pia ni Daktari, je, ana maoni gani kwa wazazi wenzake wenye watoto walio na usonji katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya virusi vya corona?

(SAUTI YA DKT. ISAAC MARO)

Audio Credit
UN News/Assumpta Massoi na Dkt. Isaac Maro
Audio Duration
3'3"
Photo Credit
UNICEF