Ukeketaji

Lazima tutokomeze ukeketaji : Mwanaharakati Ifra Ahmed

Kutana na mkimbizi kutoka Somalia, muathirika wa ukeketaji ambaye hakuacha athari za jinamizi hilo kusambaratisha ndoto zake za kuhakikisha hatopumzika hadi pale mangariba wote watakapobwaga manyanga na kuacha ukatili huo nchini Somalia na kwingineko duniani.

Sauti -
2'49"

10 Juni 2021

Hii leo katika jarida Leah Mushi anaanza na ripoti ya ajira za watoto duniani ikielezwa kuwa ajira za utotoni zimefikia milioni 160, zaidi ya nusu ni watoto wa wenye umri wa miaka 5 hadi 11.

Sauti -
13'9"

Sitopumzika hadi mangariba wote watakapoacha ukeketaji: mwanaharakati Ifrah 

Kutana na mkimbizi kutoka Somalia muathirika wa ukeketaji ambaye hakuacha athari za jinamizi hilo kusambaratisha ndoto zake za kuhakikisha hatopumzika hadi pale mangariba wote watakapobwaga manyanga na kuacha ukatili huo nchini Somalia na kwingineko duniani.

Asante Umoja wa Mataifa kutushika mkono kupambana na ukeketaji Kenya:Lisiagali

Tatizo la ukeketaji ni mtambuka linaathiri mamilioni ya wanawake na wasichana kote duniani likiwaacha na amajeraha makubwa yasiyofutika yakiwemo ya kimwili na kisaikolojia.

Sauti -
4'57"

Hatua za haraka zahitajika kukomesha FGM, ndoa za utotoni na upendeleo:UNFPA

Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la idadi ya watu duniani UNFPA imesema ili kukabiliana na janga la kimyakimya la mila potofu hatua za haraka zinahitajika kukomesha ukeketaji (FGM), ndoa za utotoni na mila zingine ambazo zinathiri wanawake na wasichana. 

Manusura wa ukeketaji na juhudi za kuwaokoa wasichana kuepukana na uovu huo Tanzania

Dunia imeendelea kupambana na ukatili mkubwa wanaofanyiwa wasichana na wanawake lilikwemo suala la ukeketaji ambapo sehemu ya kiungo cha uzazi cha mwanamke aghalabu wasichana wa umri mdogo hukatwa kutokana na imani za mila.

Sauti -
6'1"

07 FEBRUARI 2020

Jaridani Februari 07, 2020 na Anold Kayanda. Ikiwa leo ni Ijumaa utasikia Habari kwa ufupi, mada kwa kina imejikita katika suala la ukeketaji tukiangazia nchini Tanzania ambako manusura mmoja anapambana kuhakikisha hakuna mtoto mwingine wa kike atakayekumbana na madhila haya.

Sauti -
10'23"

Tangu nimeacha ungariba nimeshawaokoa wato takribani 150-Aliyeacha ungariba

Tukisalia katika suala hilo la maadhimisho ya siku ya kutokomeza ukeketaji hii leo shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu UNFPA lime

Sauti -
1'41"

WHO yasema ukeketaji unaathiri wasichana na wanawake na gharama ya matibabu ni dola bilioni 1.4 kwa mwaka kimataifa

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kutokomeza ukeketaji, shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema kitendo hicho kinadhoofisha uchumi pamoja na nguvu kazi.

Sauti -
3'23"