Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

24 MACHI 2021

24 MACHI 2021

Pakua

Katika jarida la Umoja wa Mataifa hii leo Grace Kaneiya anakuletea 

- Ikiwa leo ni siku ya kifua Kikuu duniani Umoja wa Mataifa umetangaza habarin njema ya tiba ambayo sio tu gharama yake ni nafuu bali pia ni ya muda mfupi na vidonge vinavyotumika ni vichache.

-Mashirika ya Umoja wa Mastaifa yaendelea kufikisha nuru kwa wakimbizi huko Ituri Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kwa misaada mbalimbali ya kibinadamu

-Shirika la Umoja wa Mastaifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR leo limemtangaza mwanasoka nyota wa FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Canadfa Alphonso Davies kuwa balozi wake mwema kwa mchango mkubwa anaoutoa kwa wakimbizi

-Makala yetu inatupeleka Uganda mjini Hoima kwa mkimbizi kijana kutoka Conco DRC aliyekosa kazi kwa sababu ya kutojua lugha ya Kiingereza

-Na mashinani tutakuwa Msumbiji kusikia ujumbe kuhusu TB gonjwa linaloezwa ni bora kulikinga kuliko kuliponya

Audio Credit
UN News/Grace Kaneiya
Audio Duration
12'37"