Kifua Kikuu

TB ikichanganyika na COVID-19 ni janga juu ya janga

Ugonjwa wa Kifua Kikuu au TB, bado umesalia kuwa miongoni mwa magonjwa hatari zaidi duniani. Zaidi ya watu 4000 hupoteza maisha yao  kila siku kutokana na ugonjwa TB huku 30,000 wakiwa wanapata maambukizi ya ugonjwa huu unaoweza kuzuiwa na kutibiwa.

Sauti -
4'

Uwepo wa COVID-19 usitufanye tusahau kuhusu tishio la TB

Tunapopambana na janga la kimataifa la afya COVID-19 ni wakati pia wa kutafakari na kutoyapa kisogo maradhi mengine makubwa ikiwemo kifua kikuu au TB, amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la afy

Sauti -
2'25"

Tunapopambana na COVID-19 tusiyape kisogo maradhi kama TB:WHO

Tunapopambana na janga la kimataifa la afya COVID-19 ni wakati pia wa kutafakari na kutoyapa kisogo maradhi mengine makubwa ikiwemo kifua kikuu au TB, amesema mkurugenzi mkuu wa shirika la afya duniani WHO.

Watu wengi zaidi walipata tiba dhidi ya TB mwaka 2018-WHO

Ripoti mpya ya shirika la afya duniani, WHO,  imesema kuwa watu wengi zaidi walipata tiba dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu, TB, mwaka 2018 kuliko wakati wowote

Sauti -
2'14"

Ukata wahatarisha uhai wa watu milioni 3 wanaokosa tiba dhidi ya TB

Ripoti mpya ya shirika la afya duniani, WHO,  imesema kuwa watu wengi zaidi walipata tiba dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu, TB, mwaka 2018 kuliko wakati wowote ule kutokana na kuimarika kwa mbinu za utambuzi wa ugonjwa huo.  

04 Julai 2019

Sikiliza Jarida Maalum la Alhamisi Julai, 4, 2019 leo ikiwa ni siku ya mapumziko hapa Marekani likiangazia -

HABARI KWA UFUPI

Sauti -
10'47"

Ni wakati wa kukitokomeza Kifuu kikuu-UN

Shirika la afya duniani kupitia taarifa yake ya leo jumapili katika siku ya Kifua Kikuu au TB duniani, linasema ugonjwa huo siyo tu ni ugonjwa wa maambukizi unaoua zaidi duniani kote bali pia ni ugonjwa unaoongoza kusababisha vifo kwa watu wanaoishi na Virusi Vya UKIMWI, au VVU, pia ndiyo ugonjwa unaosababisha zaidi vifo vinavyotokana na magonjwa ambayo yamekuwa sugu dhidi ya madawa.

WHO yajizatiti kuitokomeza TB inayoua watu 4500 kila siku.

Kuelekea siku ya kifua kikuu itakayoadhimishwa tarehe 24 mwezi huu, Shirika la afya duniani WHO hii leo mjini Geneva Uswisi limetoa mwongozo mpya wa jinsi ya kuboresha matitabu ya ugonjwa wa kifua kikuu kilicho sugu kwa dawa zinazoaminika (MDR-TB). WHO inasema matibabu mapya ni bora zaidi na yana kiwango kidogo cha kuweza kusababisha madhara ya baada ya matumizi.

Waziri wa afya Uganda asema nchi yake inajitahidi kudhibiti TB

Serikali ya Uganda imeanzisha kampeni ya kuhamasisha taifa zima kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu, TB, ili kuongeza uelew wa ugonjwa huo hatari

Sauti -
2'20"

Uganda inajitahidi kudhibiti TB- Waziri Opendi

Serikali ya Uganda imeanzisha kampeni ya kuhamasisha taifa zima kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu, TB, ili kuongeza uelew wa ugonjwa huo hatari.