Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua za kukabiliana na hali ya wakimbizi Sahel zaongezwa na UNHCR huku ghasia zikishika kasi

Hatua za kukabiliana na hali ya wakimbizi Sahel zaongezwa na UNHCR huku ghasia zikishika kasi

Pakua

Kamishina Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR ameelezea hofu yake kuhusu kuzorota kwa kasi kwa hali ya kibinadamu kwenye ukanda wa Sahel ambako machafuko na kutokuwepo usalama kumewalazimisha maelfu ya watu kuzikimbia nyumba zao.

Audio Credit
UN News/Flora Nducha
Audio Duration
2'22"
Photo Credit
UNDP/Nicolas Meulders