Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtoto Adama anataka kufanikiwa ili asaidie wazazi wake na nchi yake

Mtoto Adama anataka kufanikiwa ili asaidie wazazi wake na nchi yake

Pakua

Kutana na mtoto Adama mwenye umri wa miaka 12 kutoka Burkina Fasso , licha ya vita na machafuko yaliyokatili Maisha ya watu na kuwafanya maelfu ya watoto kutopata elimu nchini humo hajakata tamaa. Kwa msaada wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF anaenda shule sasa na ana ndoto ya kuwasaidia wazazi wake na nchi yake siku moja

Audio Credit
UN News/Brenda Mbaitsa
Audio Duration
2'9"
Photo Credit
© UNICEF/Tanya Bindra