Burkina Fasso

16 Agosti 2019

Katija Jarida letu la kina la habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
11'44"

Magugu maji yaleta nuru kwa wakazi wa Ougadougou Burkina fasso

Ili kutatua changamoto kubwa zinazoikabili dunia hivi sasa kuanzia umaskini, mabadiliko ya tabianchi na hata majanga ya asili tunahitaji utashi, hatua zaidi na hatua zenyewe zichukuliwe sasa.

Sauti -
1'49"

30 Julai 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Janga la usafirishaji haramu wa binadamu ni la dunia nzima likiathiri zaidi wanawake, wasichana na watoto umesema Umoja wa Mataifa ukitaka hatua zaidi zichukuliwe kuukomesha

Sauti -
15'6"

Nalaani vikali shambulio la leo Ouagadougou:Guterres

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani vikali shambulio la leo mjini Ouagadougou nchini Burkina Fasso, dhidi ya makao makuu ya jeshi la nchi hiyo na ubalozi wa Ufaransa.