Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

14 Oktoba 2019

14 Oktoba 2019

Pakua

Miongoni mwa habari anazokuletea Assumpta Massoi hii leo katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa ni

-Theluthi moja ya chakula hupotea au kutupwa kote duniani kila mwaka yasema ripoti ya shirika la chakula na kilimo FAO

-Yumkini hali ya mambo bado si shwari Syria mashirika ya Umoja wa Mataifa atoa tahadhari kuhusu hali ya kibinadamu

-Nitazitumia vizuri fedha ninazopewa na UNHCR, nijenge nyumba nyingine hiyo ni kauli ya Mkimbizi Florence kutoka kambini nchini Kenya

-Makala yetu inajikita katika uhifadhi wa mazingira kutokana na taka za mafuta huko Turkana nchini Kenya

-Na mashinani utasikia maoni ya waalimu kuhusu wajibu na kazi zao.

Audio Credit
UN News Assumpta Massoi
Audio Duration
10'41"