Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Turkana

UNICEF

UNICEF na wadau Kenya waelekea kufanikisha ndoto ya Sharlyne kuwa mwandishi wa habari

Kutana na Shalyne Kaputa, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 16 kutoka kaunti ya Turkana, Kaskazini-Magharibi mwa Kenya. Tofauti na shangazi yake, ambaye hakuweza kuendelea na elimu  yake kutokana na kukosa karo, yeye anasoma elimu ya sekondari sasa ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mwandishi wa habari. Yote yanawezekana kutokana na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa msaada wa shirika la Norway la Maendeleo NORAD na wadau wengine. Je ni usaidizi gani wanapatiwa? Ungana na Assumpta Massoi.

Sauti
4'24"

09 APRILI 2025

Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika katika jimbo la Upper Nile nchini Sudan, na haki za binadamu na watu kutoweka kwa wingi nchini Sudan. Makala inatupeleka nchini Kenya na Mashinani tunakwenda Gaza, kulikoni?

Sauti
12'9"
Sharlyne Kapua, Msichana mwenye umriwa miaka 16 akiwa kwenye shule ya sekondari ya wasichana ya Katilu hapa Turkana nchini Kenya.
UNICEF

UNICEF, NORAD na wadau Kenya waelekea kufanikisha ndoto ya Sharlyne kuwa mwandishi wa habari

Kutana na Sharlyne Kaputa, mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 16 kutoka kaunti ya Turkana, Kaskazini-Magharibi mwa Kenya. Tofauti na shangazi yake, ambaye hakuweza kuendelea na elimu  yake kutokana na kukosa karo, yeye anasoma elimu ya sekondari sasa ili aweze kutimiza ndoto yake ya kuwa mwandishi wa habari. Yote yanawezekana kutokana na mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa msaada wa shirika la Norway la Maendeleo NORAD na wadau wengine. 

Sauti
4'24"
FAO

Mradi wa FAO wa kulinda lishe ya wasiojiweza umekuwa mkombozi Turkana nchini Kenya

Mradi unaoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO, wa kulinda lishe ya wasiojiweza wakiwemo wajasiriamali wa bishara ndogodogo na za kati, wakulima wadogo wa matunda na mbogamboga, wafugaji  na wachuuzi wa samaki kama sehemu ya jitihada za kujikwamua baada ya janga la COVID-19 umeleta nuru kwa jamii mbalimbali ikiwemo katika kaunti ya Turkana Kaskazini Magharibi mwa Kenya na katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma. Je unawanufaisha vipi wakulima na kwa nini ni muhimu? Ungana na Flora Nducha katika makala hii kwa undani zaidi

Sauti
4'
Wakulima wa njugu karanga. Mradi wa FAO wa kulinda lishe ya wasiojiweza umekuwa mkombozi Turkana nchini Kenya
FAO

Mradi wa FAO wa kulinda lishe ya wasiojiweza umekuwa mkombozi Turkana nchini Kenya

Mradi unaoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO wa kulinda lishe ya wasiojiweza wakiwemo wajasirimali wa bishara ndogodogo na za kati, wakulima wadogo wa matunda na mbogamboga na wafugaji na wachuuzi wa samaki kama sehemu ya jitihada za kujikwamua baada ya janga la COVID-19 umeleta nuru kwa jamii mbalimbali ikiwemo katika kaunti ya Turkana Kaskazini Magharibi mwa Kenya na katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma.

Sauti
4'
Katika mji wa Lokichar Turkana Kenya, Leah Akiru akiwa ameketi nje ya nyumba yake na watoto wake akipatiwa mafunzo na mhudumu wa afya wa UNICEF.
UNICEF Kenya

Mradi wa NICHE umekuwa mkombozi wangu asante UNICEF: Leah Akiru

Mradi unaoendeshwa na serikali ya kenya  na kupigwa jeki na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ambao ni wa kuboresha lishe kwa watoto kwa kugawa fedha taslim na elimu ya afya au NICHE (NISHI) umeleta nuru kwa wakazi wa Lokichar katika kaunti ya Turkana Kaskazini Mashariki mwa Kenya na miongoni mwa wanufaika ni Leah Akiru.

Sauti
2'20"

27 DESEMBA 2023

Hii leo jarida linajikita barani Afrika likianzia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kuangazia uchaguzi, wapiganaji wa zamani na MONUSCO, halikdhalika Jiko Point na mashinani ni nchini Kenya.

Sauti
9'57"