Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nuru yaangaza kwa wakazi wa vitongoji duni Nairobi, Kenya kufuatia mradi wa reli

Nuru yaangaza kwa wakazi wa vitongoji duni Nairobi, Kenya kufuatia mradi wa reli

Pakua

Sekta ya usafari ni moja ya sekta ambazo zinaathiri sana maendeleo katika jamii kwani inasaidia katika sio tu usafiri wa watu bali pia wa bidhaa.

Nchini Kenya mradi wa Benki ya dunia wa kukarabati reli kwa ushirikiano na serikali ya nchi hiyo umeleta nuru sio tu katika usafiri lakini pia kwa maisha ya watu binafsi waliokuwa wakiishi vitongoji duni ambako njia za gari moshi zinapita. Basi ungana na Joseph Msami katika makala hii.

Photo Credit
Wakazi wa vitongoji duni nchini Nairobi inakopita njia ya reli.(Picha:World Bank/video capture)