Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mradi wa UNESCO wa kumarisha radio kupitia teknohama

Mradi wa UNESCO wa kumarisha radio kupitia teknohama

Pakua

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kupitia mradi wake, "Kuimarisha Radio za kijamii kutumia teknohama”, linatoa mafunzo kwa redio 32 katika nchi saba barani Afrika. Lengo la mradi ni kuimarisha maisha ya walio masikini hususan wanawake na wasichana kwa kuimarsiha vipindi vya radio za kijamii. Mradi unalenga kuimarisha huduma kwa ajili ya majadiliano na jamii kuhusu maswala muhimu yanayowahusu. Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala hii ikiangazia moja ya nchi mnufaika wa mradi huu, Tanzania.

Photo Credit
Sabina Nestoni.(Picha:UNESCO/Video capture)