Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tujitolee kwa maendeleo yetu na ya nchi :Vijana

Tujitolee kwa maendeleo yetu na ya nchi :Vijana

Pakua

Tarehe 5 Mwezi Disemba kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujitolea siku ambayo hutumiwa na jumuiya ya kimataifa kuhamasisha kujitolea kwa maendeleo ya jamii. Kauli mbiu ya madhimisho ya mwaka huu ni sababisha mabadiliko jitolee.Wakati siku hii ikiadhimishwa utamaduni bado ni jambo geni katika nchi zinazoendelea. Joseph Msami amefanya mahojiano na baadhi ya watu wanaojitolea nchini Tanzania akiwamo mwasisi wa shirika la kujitolea liitwalo Africa Volunteer Corp liliko nchini Tanzania, Caitlin Kelley. Kwanza ameanza kumuuliza nini umuhimu wa kujitolea.

Photo Credit
Wanojitolea kutoka @AVC