Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UNICEF yaangazia maisha ya watoto walemavu Mali.

UNICEF yaangazia maisha ya watoto walemavu Mali.

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limejikita katika kuwasaidia watoto walemavu nchini Mali kwa kuanzisha shule maalum inayofundisha watoto hao katika eneo la Bamako.

Ungana na Joseph Msami katika makala hii inayomuangazia mmoja wa watoto mwenye miaka 11 amabaye ni mlemavu wa kusikia anayesoma katika shule hiyo.