UNICEF yakomboa shule ziliizoteketezwa na kimbunga Madagascar
Pakua
MADAGASCAR! Kisiwa ndani ya bahari ya HINDI kilichoko Kusini Mashariki mwa Afrika chenye idadi ya watu zaidi ya milioni 22.
Kisiwa hiki kimekuwa kikikumbwa na vimbunga mara kadhaa! Vimbunga hivi vimekuwa vikiathiri sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii.
Leo katika makala tunamulika namna ambavyo vimbunga hivi vimeathiri sekta ya kilimo chini Madgascar na mchango wa umoja wa matiafa katika kuzinusuru shule hizo.
Ungana na Joseph Msami katika makala hii ili ufahamu kulikoni vimbunga Madagascar?