Migomo ya elimu iepukwe kunusuru mustakabali wa elimu:UNESCO
Migomo katika sekta ya elimu hudidimiza kiwango cha elimu katika eneo husika na hivyo kuzorotesha maendeleo, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO. Katika kuangazia hili afisa wa UNESCO nchini Tanzania Elizabeth Kyondo anasema ni muhimu mazingira ya wali