Mbinu 3 za kuhakikisha watoto wanapata chanjo
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto ulimwenguni UNICEF linatumia njia mbalimbali kuhakikisha watoto na familia zao wanapata chanjo stahili hili kuwaepusha kuugua magonjwa ambayo mengine yanaweza kuzuilika kwa kupata chango.