Kampeni ya UNDP Tanzania ya kukabili misimamo mikali yainua vijana kiuchumi Kilwa Masoko mkoani Lindi
Nchini Tanzania, shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo, UNDP linatekeleza mradi wa kukabili misimamo mikali kupitia kampeni ya amani kama njia mojawapo ya kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.
UNICEF Niger inawasaidia watoto kupona utapiamlo mkali
Nchini Niger shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto UNICEF linaendesha program mbalimbali za kusaidia kupambana na utapiamlo mkali kwa watoto kwa kutoa virutubisho, kuhakikisha kuna upatikanaji wa huduma bora za lishe na usaidizi wa unyonyeshaji.
Kuelekea mwezi wa 5 wa mapigano Gaza, kuna nuru ya sitisho la mapigano
Vita huko Gaza kati ya Israel na wanamgambo wa kipalestina Hamas ikiingia mwezi wa tano hii leo Jumatano na kuwa imesababisha vifo va wapalestina 27,585 na takribani 70,000 wamejeruhiwa, Mkuu wa masuala ya misaada ya dharura kwenye Umoja wa Mataifa amekaribisha dalili za mapema za uwezekano wa si
El Niño na janga la tabianchi vyaibua hofu ya ukame Madagascar
El Niño ambao ni mkondo joto, ni hali ya kawaida inayotokea kwenye baharí ikihusisha joto la hewa baharini na wataalamu wanasema unaweza kuvuruga tena kwa kiasi kikubwa mienendo ya hali ya hewa duniani.
Msafara wa vyakula Gaza washambuliwa, wapalestina 234 wauawa mwishoni mwa wiki
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayotoa misaada ya kiutu huko Gaza, Mashariki ya Kati, yameripoti kuwa kuwa msafara wa malori yaliyokuwa yamebeba vyakula umeshambuliwa kwa kombora leo baada ya mwisho wa wiki uliogubikwa na uhasama na mapigano yaliyosababisha kuuawa kwa wapalestina 234, na h
UNICEF Rwanda inaboresha maisha ya watoto wenye ulemavu wa kusikia
Ruzuku inayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Rwanda kwenye vifaa vya kusaidia watoto kuweza kusikia vyema imeleta manufaa na kurudisha ndoto za watoto waliokuwa na changamoto ya kusikia. Leah Mushi anatueleza kuhusu mmoja wa watoto wanufaika.