Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kabrasha la Sauti

18 MEI 2023

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo tunamulika juhudi za wanawake wa jamii ya kifugaji mkoani Arusha ambao wameamua kujihusisha na ufugaji nyuki. Pia tunakuletea habari kwa ufupi zikiwemo za siku za UN, msaada wa kibinadamu nchini Sudan na ulizi wa amani nchini DRC.

Sauti
12'23"