Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makala: Mradi wa NICHE wa afya na malezi umekua mkombozi kwa familia Kilifi Kenya

Makala: Mradi wa NICHE wa afya na malezi umekua mkombozi kwa familia Kilifi Kenya

Pakua

Kaunti ya Kilifi iliyoko Pwani ya Kenya ni moja ya maeneo ambako mradi wa majaribio wa elimu ya malezi na lishe kwa watoto unaendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ukifanyika kwa ushirikiano na serikali na wadau wengine,lengo kubwa likiwa ni kuzisaidia familia zisizojiweza na zilizo hatarini kupitia program ya lishe na elimu ya afya  ziweze kutoa malezi bora kwa watoto wao huku zikikabiliana na ukatili katika familia hasa dhidi ya watoto.

Mradi huu umeleta faraja kubwa kwa familia nyingi za kauti hiyo tuungane na Flora Nducha katika Makala hii kwa undani zaidi.

Audio Credit
Selina Jerobon/Flora Nducha
Sauti
4'13"
Photo Credit
UNICEF Kenya