Viongozi Sudan Kusini zingatieni amani
Hatutachoka kutafuta amani ya kudumu katika taifa la Sudan Kusini na viongozi wa Afrika wamesema kuwa ni wakati sasa viongozi wa kisaisa nchini Sudan Kusini wapige moyo konde na wabadili misimamo yao na pia wawajibike kuhusu amani nchini wao.