Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watoto wa Yemen taaban-Henrieta

Watoto wa Yemen taaban-Henrieta

Pakua

 Mkurugenzi mkuu waUNICEF, Henrieta H. Fore amekuwa katika ziara ya siku nne nchini yeman na alichoshudia kimemfanya kusema miaka mitatu ya mapigano nchini Yemen imezidi kupeperusha ndoto za watoto wa nchi hiyo pamoja na kusigina haki zao za msingi,.

Audio Credit
John Kibego
Audio Duration
1'54"
Photo Credit
UNICEF/Ahmed Abdulhaleem