Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Machafuko kwetu yamenifanya kuwa mkimbizi Bangladesh kwa mara ya tatu:Zahra

Machafuko kwetu yamenifanya kuwa mkimbizi Bangladesh kwa mara ya tatu:Zahra

Pakua

Raia wa Rohingya wameshuhudia madhila mengi kwa zaidi ya miezi minane sasa ambapo walilazimika kuzikimbia nyumba zao kutokana na machafuko nchini Myanmar na kuwa wakimbizi Bangladesh. Lakini kwa wengine  kama ajuza Zahra Gul wamefungasha virago si mara moja, wala mara mbili hii ni mara ya tatu.

Audio Duration
2'1"
Photo Credit
Olivia Headon/IOM