Kama walivyo binadamu wanaocheza filamu , Wanyama wanastahili kulipwa wanapohusishwa: UNDP
Wanyama wanahusihwa kwa asilimia 20 kwenye matangazo ya biashara n ahata filamu , lakini hawalipwi ujira wowote au kupewa msaada wanaouhitaji, sasa umewadia wakati wa kuwatendea haki.