Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kama walivyo binadamu wanaocheza filamu , Wanyama wanastahili kulipwa wanapohusishwa: UNDP

Kama walivyo binadamu wanaocheza filamu , Wanyama wanastahili kulipwa wanapohusishwa: UNDP

Pakua

Wanyama wanahusihwa kwa asilimia 20 kwenye matangazo ya biashara n ahata filamu , lakini hawalipwi ujira wowote au kupewa msaada wanaouhitaji, sasa umewadia wakati wa kuwatendea haki.

Audio Credit
Siraj Kalyango
Audio Duration
2'44"
Photo Credit
Lemur, aina ya wanyama waishio mlimani wanaotishiwa kutoweka. Picha: UM