Wakazi Bangui tulieni
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, MINUSCA umesihi wananchi kuwa watulivu kufuatia mapigano kati ya jeshi la serikali na kikundi cha wahalifu kwenye viunga vya mji mkuu, Bangui.
Bila nishati endelevu wanawake Malawi wataendelea kuteseka
Athari zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo salama hususan wakati wa kupikia ni moja ya kichocheo cha kuandika makala iliyonipatia ushindi wa tuzo. Amesema James Chavula mshindi wa tuzo ya Voice of Brighter Future.
Hewa chafu ni tishio kwetu sote
Asilimia 90 ya wakazi wa dunia huvuta hewa chafu na hiyo ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, WHO iliyotolewa leo.
Matone ya Vitamin A umepungua zaidi katika nchi masikini na kuhatarisha maisha ya watoto
Kanda za Afrika ya kati na Afrika magharibi ndizo zinaongoza kwa kuwa na maeneo makubwa ya watoto wasiopata vitamin A ambayo ni muhimu katika kuzuia watoto kupata magonjwa.
Baraza la usalama lakutana vyongozi wa Myanmar kuhusu mtakhabali wa waRohingya
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liko ziarani nchini Myanmar ambako leo limetembelea sehemu mbalimbali na kukutana na viongozi wa serikali na pia asasi za kiraia na kujadilimustakhbali wa amani ya kudumu na mwelekeo wa serikali ya nchi hiyo kuhusu suala la wakimbizi
Kazi ni kazi: Wanawake wa jamii ya Asili Bolivia
Shirika la kazi duniani ILO imeripoti kuwa ukuaji miji nchini Bolivia, na hasa katika mji mkuu wa La Paz unafanyika kwa kasi, na hivyo kuongeza mahitaji ya nguvu kazi katika sekta ya ujenzi. Wengi wa wafanyakazi wapya katika sekta hii ni wanawake, wengi wao wakiwa ni wanawake
Nyumba na mashamba vimetwama kwenye maji, magari ya usafiri yamekwama: Mafuriko Somalia
Rais wa Somalia Mohammed Abdullahi Mohammed Farmajoo amezuru maeneo yaliyokumbwa na mafuriko nchini humo hususuan maeneo ya kati ya nchi na kusihi jamii ya kimataifa isaidie wasomali 650,000 walioathiriwa na mafuriko hayo nchini kote.
Nats..
Mafuriko na maporomo kufuatia Cox’s Bazaar yahatarisha maisha ya watoto warohingya
Watoto 55,000 wanakadiriwa kuwa katika hatari kubwa ya mafuriko na maporomoko ya udongo kwenye makazi ya wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladesh limeonya leo shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.