Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kazi ni kazi: Wanawake wa jamii ya Asili Bolivia

Kazi ni kazi: Wanawake wa jamii ya Asili Bolivia

Pakua

Shirika la kazi duniani ILO imeripoti kuwa ukuaji miji nchini Bolivia, na hasa katika mji mkuu wa La Paz unafanyika kwa kasi, na hivyo kuongeza mahitaji ya nguvu kazi katika sekta ya ujenzi.  Wengi wa wafanyakazi wapya katika sekta hii ni wanawake, wengi wao wakiwa ni wanawake wajamii ya asili nchini humo.

Audio Credit
Selina Jerobon
Audio Duration
3'33"
Photo Credit
Mjenzi mwanamke nchini Bolivia.(Picha:ILO)