Hatua za wanawake India zashangaza wengi
Ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 inatoa kipaumbele katika suala la ujasiriamali ikiwa ni njia mojawapo ya kutokomeza umasikini.
Ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030 inatoa kipaumbele katika suala la ujasiriamali ikiwa ni njia mojawapo ya kutokomeza umasikini.
Saudi Arabia inaendelea kutumia sera na sheria zake kuhusu masuala ya usalama na ugaidi kukandamiza wanaoipinga serikali.
Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa leo na jopo la wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa huko Geneva Uswisi
Umoja wa Mataifa umesema unafuatilia kwa karibu hali inayoendelea nchini Iran ambako maandamano yanayodaiwa kuwa ni ya kupinga serikali yameingia siku ya tano huku watu 22 wakiripotiwa kuuawa.
Ghasia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. DRC zimesababisha vifo vya watu 5 na wengine zaidi ya 120 wamejeruhiwa.